Hawa ni baadhi ya vijana walio jiunga na Club ya B. Club wajionesha uwezo wao kawika masuala ya acrobatic
Ijumaa, 22 Novemba 2013
Banguze Club inatisha sana
Banguze Media & Communication Ltd kupitia kitengo chake cha Banguze Club, imefanikiwa kuwakutanisha zaidi ya vijana 200 wa mkoa wa kigoma katika masuala mbali mbali ya kimaisha na kijamii kwa ujumla. Banguze Club imekuwa ni kimbilio la vinaja wengi hasa waliokuwa na malengo ya kujiendeleza na kujiajili kwa kupitia sanaa mbalimbali. Banguze Media & Communication ltd imedhamilia mpaka ifikapo mwaka February 2014 itakuwa imefungua academy kwa ajili ya vijana. ili kuwafua katika masuala ya sanaa , ujasiliamali , nidhamu na maendeleo kwa ujumla.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni